Msafiri Plus
TravelUtilities

Msafiri Plus

Amani Mawalla · released 4 Aug 2026 · Open in App Store ↗

Revenue 30d not estimated
Downloads 30d not estimated
Rating no reviews

No in-app products collected for this app.

Rating
United Arab Emirates<1%0
Afghanistan<1%0
Antigua And Barbuda<1%0
Anguilla<1%0
Albania<1%0
Armenia<1%0
Angola<1%0
Argentina<1%0
Austria<1%0
Australia<1%0

The store shows a different set in every country

Description

Msafiri Plus ni app ya wakala wa mabasi. Kata na uza tiketi za safari popote ulipo — mtaani, kituoni au ndani ya basi — hata bila mtandao. Imejengwa kwa ajili ya mawakala, vituo na kampuni za mabasi Tanzania.

KWA NINI MSAFIRI PLUS

Uza popote, hata offline — Endelea kuuza tiketi bila mtandao; taarifa husawazishwa zikirudi mtandaoni.

Chapisha papo hapo — Unganisha printa ya thermal na umpe abiria tiketi kamili kwa sekunde.

Ratiba za kampuni zote — Safari zote za siku, nauli, namba za magari na siti zilizobaki mahali pamoja.

Chagua siti moja kwa moja — Ramani ya siti inayoonyesha zilizouzwa na zilizo wazi kwa wakati halisi.

Zuia udanganyifu — Kila tiketi ina QR ya kipekee; skani kuhakiki, na tiketi iliyotumika haiwezi kutumika tena.

Simamia salio lako — Ongeza floti na uone matumizi kwa uwazi.

Ripoti za kila siku — Mauzo, idadi ya tiketi, abiria na komisheni yako kwa muhtasari wa haraka.

Ada ya kujiunga: BURE — Anza kuuza leo bila gharama ya awali.

Jiunge na mtandao unaokua wa mawakala wa Msafiri Plus. Kwa usaidizi, tupigie 0755 277 133.

Imetengenezwa na LOGIX.