Mama Kijacho
EducationHealth & Fitness

Mama Kijacho

Mama na Mwana Care · released 13 Jan 2026 · Open in App Store ↗

Revenue 30d not estimated
Downloads 30d not estimated
Rating 3.00 2 reviews

No in-app products collected for this app.

Rating
Tanzania50%12.00
United States50%14.00
United Arab Emirates<1%0
Afghanistan<1%0
Antigua And Barbuda<1%0
Anguilla<1%0
Albania<1%0
Armenia<1%0
Angola<1%0
Argentina<1%0

The store shows a different set in every country

Description

Mama Kijacho ni app rahisi na salama kwa kina mama wajawazito na walezi.

Inakusaidia kufuatilia ujauzito wako, kuelewa mabadiliko ya mwili, na kujifunza namna ya kujitunza wewe na mtoto wako.

Vipengele Vikuu:

1. Ufuatiliaji wa ujauzito – angalia ukuaji wa mtoto wiki kwa wiki

2. Ushauri wa kila wiki kuhusu afya ya mama na mtoto

3. Kick Tracker – rekodi na fuatilia miguno ya mtoto tumboni

4. Weight Tracker – rekodi na angalia mabadiliko ya uzito wako kwa muda

5. Video na makala za elimu kutoka kwa vyanzo vinavyoaminika

6. Vidokezo vya lishe, dalili na maandalizi ya kujifungua

Mama Kijacho imeundwa kukupa taarifa sahihi na kwa lugha rahisi.

Kumbuka: App hii haitoi ushauri wa kitabibu wa moja kwa moja. Daima wasiliana na daktari au mtaalamu wa afya unapohitaji msaada wa haraka.

Terms of Use: https://www.apple.com/legal/internet-services/itunes/dev/stdeula/