FastaPro
Business

FastaPro

Jamal Mteri · released 9 Sept 2025 · Open in App Store ↗

Revenue 30d not estimated
Downloads 30d not estimated
Rating 5.00 2 reviews

No in-app products collected for this app.

Rating
Tanzania100%25.00

The store shows a different set in every country

Description

FastaPro ni mfumo wa kisasa wa mauzo wa kidigitali, ulioundwa kwa ajili ya maduka ya rejareja na wajasiriamali wa kizazi kipya. Kwa kutumia FastaPro, unaweza kusimamia biashara yako kwa urahisi, kasi na usalama – bila tena kutegemea daftari zinazopotea au kumbukumbu zisizo kamili.