NSSF App
FinanceBusiness

NSSF App

National Social Security Fund (TZ) · released 23 Feb 2025 · Open in App Store ↗

Revenue 30d not estimated
Downloads 30d not estimated
Rating 3.03 61 reviews

No in-app products collected for this app.

Rating
Tanzania95%582.93
United Arab Emirates2%15.00
United Kingdom2%15.00
United States2%15.00
Afghanistan<1%0
Antigua And Barbuda<1%0
Anguilla<1%0
Albania<1%0
Armenia<1%0
Angola<1%0

The store shows a different set in every country

Description

Mfumo wa "NSSF TAARIFA" umebuniwa mahususi kwa ajili ya wanachama. Mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake kwa urahisi. Kupitia mfumo huu, mwanachama anaweza kufanya yafuatayo:

a) Kuangalia Taarifa za Usajili wake (Member Profile):

Kupata taarifa binafsi za usajili.

b) Kuangalia Taarifa za Michango:

Kupata taarifa zote za michango iliyowasilishwa na kampuni katika Shirika.

Kupata taarifa za michango iliyowasilishwa na wanachama wa hiari.

c) Kupata Taarifa za Michango (Statements):

Kupata taarifa kamili za michango iliyowasilishwa.

d) Uhakiki wa Wastaafu:

Kuona taarifa za mstaafu.

Uhakiki

Mfumo huu unalenga kuwezesha mwanachama kuwa na ufahamu zaidi kuhusu michango yake na kusaidia katika kupanga mipango ya kifedha kwa ufanisi.